Blender ya kibabe kwa ajili ya kazi nzito (heavy duty)!
unatafuta blender imara ya biashara au ya nyumbani yenye uwezo mkubwa wa kusaga kila kitu bila kuchoka? west stronger super heavy duty (yhs 01) ndiyo suluhisho lako la kudumu!
commercial grade: imetengenezwa kwa ajili ya matumizi mazito ya biashara na nyumbani.
high performance: inasaga barafu, matunda na viungo vigumu kwa sekunde chache tu.
imara & ya kudumu: mtungi wake ni mgumu na haunjiki kirahisi.
easy controls: vidhibiti vyepesi vya kurekebisha kasi unayotaka.