Pika kibabe na kisasa kwa west strong extra large air fryer!
unatafuta air fryer kubwa, yenye nguvu ya kutosha na inayopika vyakula kwa haraka na kiafya zaidi? west strong (8l, 2400w) ndiyo suluhisho sahihi kwa jiko lako!
8l extra large capacity: inatosha kupikia familia nzima kwa mpigo mmoja.
2400w powerful performance: nguvu kubwa ya kupika haraka na kuokoa muda.
healthy cooking: pika bila mafuta au tumia mafuta kidogo sana kwa afya yako.
digital touch screen: urahisi wa kudhibiti joto na muda wa kupikia.