Brand & Model: VONNE (Smart Cooking Made Easy)
Uwezo (Capacity): Lita 7 (7L) – Inafaa sana kwa familia kubwa na matumizi ya nyumbani au biashara ndogo.
Sufuria Mbili (Double Non-Stick Inner Pots): Inakuja na sufuria 2 za ndani zilizopakwa non-stick layer (isiyoshika au kuunguza chakula) kwa ajili ya kupikia vyakula tofauti.
Digital LED Display & Preset Programs: Ina kioo cha LED na vitufe vilivyopangwa tayari kwa ajili ya kupika wali, maharage, nyama, supu, kuku, na vyakula mbalimbali kwa urahisi wa kubonyeza tu!
Fast Cooking & Energy Saving: Inapika chakula kwa kasi kubwa na kutumia umeme mdogo kulinganisha na majiko ya kawaida.
Mfumo wa Usalama (Safety Lock): Ina lock na valvu imara za kutolea mvuke kwa ajili ya usalama wa mtumiaji.
Tena & Timer Function: Unaweza kuweka timer ya kujiweka tayari na kutunza joto