Brand: Trophacom
Mfumo wa Kupikia (Burners): Bania 4 za Gesi (4 Full Gas Burners) zenye ukubwa tofauti kwa ajili ya kupika vyakula mbalimbali kwa wakati mmoja.
Bania ya Wok (Double Ring Burner): Ina bania moja kubwa yenye mzunguko wa mara mbili (Wok burner) kwa ajili ya mchakato wa kupika haraka na sufuria kubwa.
Kioo Imara (Black Tempered Glass): Kioo kigumu cha mweusi (Black Finish) kinachostahimili joto kali, kisichokwaruzika kwa urahisi, na rahisi sana kusafisha.
Heavy-Duty Cast Iron Pan Supports: Stand nene na imara za chuma (Cast Iron) zinazoshikilia sufuria vizuri bila kuyumba.
Auto Ignition System: Mfumo wa kuwaka wenyewe unapozungusha knob bila haja ya kiberiti.
Versatile Installation: Unaweza kulifukia kwenye kabati la jikoni (built-in) au kulitumia kama jiko la mezani