Mixer imara unapata na warranty ya mwaka mzima inauwezo wakuchanganya mpka kilo mbili kwa mara moja ina motor imara brand ya sonifer nilita 12 inakuja na michapio mitatu ya chuma ina sped mpaka sita inafanya kazi kwa ufanisi acha kutumia mixer zisizo na ubora njo kwetu ujipatie kilicho bora na imara zaidi kutoka SONIFER