Contact me through and i will send you the location through watsapp
Closed now
• Mon - Sat, 08:00-19:00
Unyama mwingi sana jikoni! Pika vyakula unavyovipenda kwa urahisi, haraka, na kwa mafuta kidogo sana au bila mafuta kabisa.
Kwanini uichague hii?
• Uwezo mkubwa wa Lita 15 (Unapika kuku mzima).
• Mlango wa kioo unaoonyesha chakula kikiwa kinaiva.
• Screen ya kidijitali ya kugusa (Touch Screen).
• Rahisi sana kusafisha na haipigi kelele.
• Inafaa kwa Chips, Chicken, Cake, Pizza, Fish, na nyama zote!