Sahalisisha maisha yako na pasi ya mvuke ya raf (garment steamer)!
unajali nguo zako za thamani? sahau habari za kuunguza mashati au suti zako! pasi hii ya mvuke ya kusimama inakupa ufanisi wa hali ya juu na haraka zaidi.
inakuja na ubao wa kupigia nguo kwa urahisi zaidi
ni salama kwa vitambaa vyote (silk, cotton, wool, n.k.)
inaondoa makunyanzi na kuua bakteria kwa mvuke wa moto