Powertech 3 in 1 Multipurpose Juicer and Blender 4l
Diamond
1/2
Promoted
Dar es Salaam, Ilala, 3 hours ago
2 views
Powertech 3 in 1 Multipurpose Juicer and Blender 4l
+1
Juicers
Type
Black
Color
Brand New
Condition
POWERTECH
Brand
Electric
Power Source
Glass
Material
Slow Juicer
Juicer Type
10
Number of Speeds
Electronic
Control Type
Store address
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO MTAA WA LIKOMA NA MASASI
Open now
• Mon - Sun, 07:30-22:30
POWERTECH 3-IN-1 Multi-Purpose Juicer / Blender - 4.0L
Bei120,000/=Tsh
Sifa zake Baadh
*1. Ukubwa wa Bakuli:*
- *4.0L Jug Kubwa* - Hili ndio kubwa kuliko blender zote za kawaida.
-
- *Unbreakable Jug* - Bakuli lake ni la Plastik ngumu, nyeusi kama unavyoona, haliwezi pasuka hata likidondoka. Sio kama bakuli za kioo zinazovunjika.
*2. Nguvu:*
- Imeandikwa *9500W* - Ni kubwa sana, inasaga hata mawe, karanga, nazi, mahindi.
- Ina *Motor ya Copper* na *Overheat Protection* - ikipata moto sana inajizima yenyewe.
*3. 3-IN-1 - Maana yake inakuja na vitu 3 kwenye box moja:*
Kama unavyoona juu ya box pichani:
- *1. Blender/Juicer Kubwa ya 4L* - ya katikati, kwa juice, madafu, matunda, mboga
- *2. Grinder Kidogo (kushoto)* - kwa kusaga viungo vikavu, pilipili, hiliki, karanga, kahawa
Grinder