Brand: PINETECH
Mfumo wa Kupikia (Burners): Mchanganyiko wa Bania 3 za Gesi (3 Gas Burners) na Hotplate 1 ya Umeme (1 Electric Plate).
Bania ya Wok (Double Ring Burner): Ina bania moja kubwa yenye mzunguko wa mara mbili kwa ajili ya kupika haraka ukitumia sufuria kubwa.
Uso wa Enamel Mweusi (Black Finish): Uso imara unaostahimili joto kali, haushiki madoa kwa urahisi na ni rahisi kusafisha.
Heavy-Duty Pan Supports: Stendi nene na imara zinazostahimili uzito wa sufuria kubwa bila kuyumba wala kuteleza.
Automatic Ignition & Control Knobs: Knobs za chuma zenye muonekano wa kifahari na mfumo wa kuwaka wenyewe.
Versatile Installation: Unaweza kulifukia kwenye kabati la jikoni (built-in) au kulitumia juu ya meza (tabletop).
Hali: Mpya (Brand New in Box)