Oraimo smart blender go
ni blender ndogo inayobebeka (portable) ,na yenye ujazo wa nusu lita.
•>rahisi kuosha
sharp blades,powerfull motor
ina nyembe kali na moto wenye nguvu ya kusaga juice kwa muda mfupi
dual 2000mah batteries
ukichaji mara moja unaweza kusaga juice mpaka glass 10
bei:120,000