Uwezo Mkubwa wa 2800W: Inapika chakula na kuchemsha maji kwa kasi ya ajabu ili kuokoa muda wako.
Teknolojia ya Ceramic/Infrared: Tofauti na majiko ya Induction, hili linakubali sufuria za aina zote (Chuma, Sufuria za Kawaida, Bati, au Udongo).
Vitufe vya Digital Touch & Knob: Ni rahisi kurekebisha kiwango cha moto kwa kugusa vioo au kugeuza kitufe.
Muundo wa Kifahari (Wood Grain Finish): Mfumo wake wa rangi ya mbao unalipa jiko lako muonekano wa kisasa na wa kuvutia sana.
Kioo Imara cha Juu (Tempered Glass): Ni rahisi kusafisha kwa kitambaa mara tu ukimaliza kupika.
Salama na Yenye Ufanisi: Haina mofuko au moto wa wazi, na ina mfumo wa kuzuia joto kuzidi kipimo.
Model: SC-7038
Uwezo: 2800W
Hali ya Bidhaa: Mpya kabisa kwenye boksi (Brand New)
Matumizi: Nyumbani, Offisini, au Vyumbani (Bedsitter)