Tunauza bidaa mpya tu hatuna used, majibu ya haraka piga simu sio meseji
.
hili ni friji la alitop lita 160 imara sana na lina warranty ya uhakika miaka 3 juu lina freeza lina gandisha na kupooza haraka nunua hili mkataba
.
delivery tunafanya lipa ukishapokea mzigo wako na kuukagua
.
usishangae unafuu wa bei zetu kwani sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics
.
sisi tutakuuzia kwa bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti
.
zipo bidhaa zote mfano tv nchi 17-98, sabufa, sound bar, friji, majiko aina zote pia brand zote zipo kama hisense, samsung, lg, tcl, aborder, alitop na nyinginezo ushindwe ww tu
.
tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt tupigie