Ofa 0fa = Kenwood Brenda Lita 3 Kubwa Sana Heavy Duty LA Kaz
Promoted
Dar es Salaam, Ilala, 3 hours ago
5 views
Ofa 0fa = Kenwood Brenda Lita 3 Kubwa Sana Heavy Duty LA Kaz
+1
2
Blenders
Type
Brand New
Condition
Kenwood
Brand
Electric
Power Source
Electric Blender
Blender Type
3 L
Capacity
Store address
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Closed
• Mon - Sun, 08:00-22:00
Tunauza bidaa mpya tu hatuna used, majibu ya haraka piga simu sio meseji
.
hili ni heavy duty brender la kazi kazi imara sana la kenwood ni kubwa sana kuliko mengine lina jagi la lita 3 warranty miaka 2 nunua hili utanishukuru
.
delivery tunafanya lipa ukishapokea mzigo wako na kuukagua
.
usishangae unafuu wa bei zetu kwani sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics
.
sisi tutakuuzia kwa bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti
.
zipo bidhaa zote mfano tv nchi 17-98, sabufa, sound bar, friji, majiko aina zote pia brand zote zipo kama hisense, samsung, lg, tcl, aborder, alitop na nyinginezo ushindwe ww tu
.
tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt tupigie