Brand: Mr UK
Mfumo wa Kupikia (Burners): Mchanganyiko wa Bania 3 za Gesi (3 Gas Burners) na Hotplate 1 ya Umeme (1 Electric Plate).
Kioo Imara (Tempered Glass Top): Uso wa kioo kigumu kisichopata scratches kwa urahisi na kisichoshika uchafu, rahisi kusafisha.
Stands Imara za Cast Iron: Stand nene na imara zinazostahimili uzito wa sufuria kubwa bila kuyumba.
Automatic Ignition: Mfumo wa kuwaka wenyewe kwa kubonyeza/kuzungusha knob.
Matumizi ya Mara Mbili (Versatile Use): Unaweza kulitumia kama jiko la mezani (tabletop) au ukalifukia kwenye kabati la jikoni (built-in hob).
Hali: Mpya (Brand New in Box)