Mr uk combi fridge 140l
unatafuta friji la kisasa, lenye muonekano wa kifahari na linalookoa umeme? hili hapa!
capacity: 140 litres
model: f71-40-1di
design: combi style – muundo wa kisasa
colour: dark inox
energy saving: limeundwa kuzingatia matumizi bora ya umeme
warranty: miaka 2 (24 months)
muonekano wa kisasa unaopendezesha jiko lako!
hifadhi vyakula na vinywaji vyako kwa urahisi.
bei: tsh 560,000/- tu!
wasiliana nasi kuagiza lako leo!
uk – home of best quality
enlightening lives