• 20 Liters Capacity – inafaa kwa familia ndogo hadi ya kati
• Fast & Convenient Cooking – pika au pasha chakula ndani ya dakika chache
• Multiple Power Levels – control joto kulingana na aina ya chakula
• Defrost Function – toa barafu kwenye nyama/chakula haraka
• User-Friendly Controls – rahisi kutumia kwa kila mtu
• Compact Countertop Design – inatoshea vizuri jikoni bila kuchukua nafasi kubwa
• Durable & Energy Efficient – matumizi madogo ya umeme