RAHISISHA KAZI JIKONI KWA KITCHEN LUX 3-IN-1 BLENDER!
Unatafuta blender imara, isiyovunjika kirahisi na yenye uwezo mkubwa wa kusaga viungo na kutengeneza juisi safi? Kitchen Lux (Model: 1-3BG) ndiyo suluhisho sahihi kwa jiko lako!
3-in-1 Unbreakable Jars: Mitungi imara isiyovunjika kwa matumizi ya muda mrefu.
350 Watts Power: Nguvu ya kutosha kusaga kila kitu kwa urahisi.
2 Speed Settings: Chagua kasi unayotaka kwa matokeo bora zaidi.