Contact me through and i will send you the location through watsapp
Open now
• Mon - Sat, 08:00-19:00
Kurahisisha mapishi ya nyumbani au kwenye biashara yako sasa hivi! Jipatie jiko hili imara la kukaangia Chips, Kuku, Samaki na snacks mbalimbali kwa haraka na usafi wa hali ya juu.
Sifa zake Kuu:
• Uwezo mkubwa wa Lita 12 (Zimegawanyika 6L + 6L)
• Double Tank: Unaweza kukaanga vitu viwili tofauti kwa wakati mmoja bila kuchanganya ladha!
• Inapasha mafuta haraka sana na kuokoa muda wako.
• Nyenzo ya Stainless Steel: Ni rahisi kusafisha na haishiki kutu.
BEI: TSh 150,000/= tu!
LOCATION: Kariakoo, Livingstone / Agrey Street, Dar es Salaam.
MAWASILIANO: Piga au WhatsApp071XXXXXXX