Uwezo Mkubwa wa Motora (1500 Watts): Ina nguvu kubwa inayoiwezesha kukanda unga mzito wa mikate, maandazi, au biskuti kwa urahisi bila kupata moto haraka.
Bakuli Kubwa la Lita 5 (5L Stainless Steel Bowl): Inatosha kutengeneza mchanganyiko wa keki kubwa au kiasi kikubwa cha unga kwa wakati mmoja, inafaa kwa matumizi ya nyumbani au biashara ndogo.
Sauti ya Chini (Low Noise): Inafanya kazi kwa utulivu bila kupiga kelele nyingi jikoni.
Garantii ya Mwezi 12 (12 Months Warranty): Inampa mteja amani ya moyo na uhakika wa ubora wa bidhaa.
Muundo Imara na Wa Kisasai (Strong & Stylish Design): Inasitiri na kupendezesha muonekano wa jikoni.