Inauwezo mkubwa wa kusukuma mziki katika spika za aina yoyote kutokana na uwepo wa amplifier ndani yake, ni nzuri kwa matumizi ya studio, ina bluetooth na memory card hakuna haja ya kuchomeka pc.
haijawahi kutumika, imeletwa kutoka uk
Condition: Brand New