Hii ni oven au kichomea cha kibiashara chenye madeki (3 Deck Commercial Oven) chenye trei 6 ni tanuri la kitaalamu la umeme linaloweza kuoka aina mbalimbali za bidhaa za kuokwa kwa haraka. Ni chaguo bora kwa mabakery, migahawa, hoteli, au huduma nyingine za upishi.