Nguvu Kubwa (High Performance): Inasaga kwa haraka sana matunda, mboga, barafu na hata vitu vigumu kama nafaka na viungo. Muundo Imara wa Chuma (Stainless Steel): Body yake ya chuma haishiki kutu, ni rahisi kusafisha na inadumu kwa miaka mingi. Udhibiti wa Kasi (Speed Control & Pulse): Unaweza kurekebisha kasi ya kusaga kulingana na kitu unachorainisha. Jagi Kubwa na Salama: Jagi la kisasa linalohimili mikwaruzo na linalotosha mahitaji ya familia au biashara. Inasaga kwa Utulivu: Hainasishi kelele nyingi ikilinganishwa na blender za kawaida.Wahi Yako Sasa! Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.