Ongeza urahisi na utamu jikoni kwako na bish blender!
unatafuta blender imara, yenye nguvu na inayofanya kazi zote za jikoni kwa haraka? bish best choice blender (model: bs400) ndiyo jibu lako sahihi!
500w powerful motor: nguvu kubwa ya kusaga kila kitu kwa sekunde chache.
1.5 litres capacity: mtungi mkubwa wa kutosha familia nzima.
2-in-1 combo: inakuja na grinder ndogo kwa ajili ya kusaga viungo na kahawa.
multi-speed control: kitufe cha kurekebisha kasi unayotaka wewe mwenyewe.
modern design: muonekano wa kishua unaopendezesha jiko.