Contact me through and i will send you the location through watsapp
Closed now
• Mon - Sat, 08:00-19:00
Sema kwaheri kuchelewa jikoni! Mashine bora kabisa ya kukaanga chips, kuku, samaki, na samosa kwa urahisi na haraka.
Ujazo: Lita 6 (Single Tank)
Material: Stainless Steel (Imara na haipati kutu)
Matumizi: Inafaa sana nyumbani na kwenye biashara yako ya chakula.