Ina capacity kubwa (family size )
• Ina multi-function (inafanya kazi nyingi kwa kifaa kimoja)
• Ina rotisserie (kuchoma kuku mzima )
• Ina temperature control sahihi (perfect baking)
• Ina timer na auto off (hakuna kuunguza chakula)
• Ina matumizi madogo ya umeme ukilinganisha na oven kubw