Hifadhi chakula chako kwa uhakika na ubora wa hali ya juu!
• Uwezo wa 120 Liters – Inatosha kuhifadhi nyama, samaki, vinywaji na vyakula mbalimbali
• Fast Freezing – Inaganda haraka kulinda ubora wa chakula
• Low Power Consumption – Inaokoa umeme kwa matumizi ya kila siku
• Strong & Durable – Imetengenezwa kudumu kwa muda mrefu
• Ina lock & key – Usalama wa bidhaa zako
Hifadhi kwa muda mrefu bila kuharibika!