Digital Touchpad Controls – rahisi kutumia, programu tayari kwa kupika kwa usahihi.
Large Capacity – inafaa kwa familia kubwa au chakula kwa wageni.
Healthy Cooking – inapika kwa hewa moto, kutumia mafuta kidogo sana!
Multi-Function Cooking – inaweza kukaanga, kuoka, kukaanga bila mafuta, kuchemsha mboga, au kuandaa nyama.
Rapid Air Circulation – hewa moto inizunguka haraka kwa matokeo crispy bila mafuta mengi.
Timer & Temperature Control – weka muda na joto unalotaka kwa matokeo mazuri kila mara.
Easy to Clean – tray na sehemu za kusafisha kwa urahisi.
Safety Features – auto shut-off na cool-touch handle kwa usalama.