MULTIPURPOSE KITCHEN VEGETABLE CHOPPER
Fanya maandalizi ya chakula yawe rahisi na ya haraka!
Unachohitaji jikoni kwako kipo hapa!
Hukata viazi, vitunguu, karoti na mboga nyingine.
Ina blade mbalimbali za kukatia.
Ina kikapu cha kuchujia maji.
Ina sehemu ya kuhifadhia mboga.
Ni rahisi kutumia na kusafisha.
Inasaidia kuweka jiko lako katika mpangilio mzuri.
Delivery inapatikana.
Kuagiza, tuma ujumbe Inbox/WhatsApp.
USIKOSE KIFAA HIKI CHA KISASA JIKONI KWAKO