Contact me through and i will send you the location through watsapp
Open
• Mon - Sat, 08:00-19:00
Sahani yenye muundo imara na urembo wa lulu pembeni (pearl-dot design). Inang'aa, ni rahisi kusafisha, na inafaa kwa matumizi ya kila siku au sherehe. Ongeza hadhi ya jiko lako leo!