Boresha jiko lako kwa seti hii ya vifaa vya kupikia vya silicone yenye vipande 12 na holder ya kuhifadhia. Vimetengenezwa kwa silicone ya ubora wa juu yenye mpini wa mbao, havikwaruzi sufuria za non-stick na vinastahimili joto la juu. Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, hoteli na migahawa.