tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Jobs
  3. Housekeeping & Cleaning Jobs
Dar es Salaam, Ilala, 14/10
126 views

Anahitajika Mtumishi Wa Kazi Za Ndani

+1
2
Job Type
Full-Time
Responsibilities
1. Usafi wa ndani ya nyumba na jikoni uwani. 2. Kufua nguo zangu, mapazia na vitambaa vya makochi 3. Kupika chakula cha watu 4 (asubuhi, mchana na usiku). Pia chakula cha mgonjwa mmoja (asubuhi na alasiri) 4. Kazi za dharula (mfano ikitokea kuna wageni inabidi awahudumie) 5. Kazi za manunuzi (dukani na sokoni/gengeni)
Requirements & Skills
1. Mwanamke 2. Mwenye umri wa miaka 18 au zaidi 3. Awe anafahamu kuongea na kuandika kiswahili 4. Awe anaweza usafi na mapishi
Minimum Qualification Requirements
Darasa la saba au sekondari na kuendelea
Minimum Experience
less than 1 year
Agency address
Dar es Salaam • Ilala
Stakishari, Ukonga
Call or message
Closed now
• Mon, Tue, Wed, Thu, Fri, Sun, 09:00-17:00
» Mcha Mungu » Msikivu na mwenye kujituma Mazingira ya kazi: » Nyumba selfu ya vyumba 4 vya kulala na cha mtumishi cha 5 » Maji yapo masaa 24/7 » Atahudumia wakaaji watu wazima 6 » Muda kwenda ibadani mara 1 kwa wiki » Muda kutembelea ndugu kila Jumapili ya mwisho wa mwezi Mshahara: » Chakula na malazi Ukonga, Dar es Salaam
TSh 50,000 - 100,000
1 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • Don't pay fees for applying/interviewing
  • Avoid going for an interview at an unofficial office address
  • Do your research and check info about the company
  • Never disclose personal info before you get a job offer
frame_left.gif