Muundo wa Kisasa (Modern Design): Umbo lake la mnara (tower) linaifanya ionekane maridadi sana na kuokoa nafasi kwenye meza au chumbani kwako.
Upepo Mlaini na Wenye Kazi: Inatoa upepo mzuri wa kutosha kukata joto bila makelele mengi, inafaa kwa matumizi ya ofisini, chumba cha kulala, au sebuleni.
Rahisi Kutumia na Kubeba: Ni nyepesi, inaweza kuwekwa popote kwa urahisi kulingana na mahitaji yako.
Ubora wa Juu: Bidhaa halisi kutoka Skywood yenye uimara na kudumu kwa muda mrefu.