Karibu Mr mizani Tanzania Ltd ni wauzaji machines mbali mbal kariakoo mtaa wa nyamwezi na mkunguni
Closed
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Habari wateja wetu leo bhana tumewalea chehani mpya kabsa aina ya Skymark hii cherehani bhana imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu yani haisumbii kabsa cherehani hii inakuja na warranty ya mwaka mzima na bei yake ni rahisi sana