Ili ujibiwe haraka usitume meseji nipigie simu
.
achana na zile copy za gred two ambazo ukiziona huwezi jua kuwa ni kopy ya phillips original, sisi wauzaji tunazijua, hizo nibei nafuu ukitaka tutakupa hizo, lakini hii ni ile yenyewe kabisa ambayo hata kuipata ni tabu sana maana inabei kubwa ndiomaana watu wanauza copy zake kwakuwa zinabei ndogo, ukinunua hii ni mkataba nakupa warranty miaka mitatu
.
delivery tunafanya na utalipia baada ya kupokea mzigo wako na kujiridhisha kuwa uko salama
.
usishangae unafuu wa bei zetu kwakuwa sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics
.
sisi tutakuuzia bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao
.
tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt