Original & Durable: Pasi halisi ya Philips yenye kiwango cha juu cha ubora na udumu.
Speed Shaped Soleplate: Bati la chini limesukwa kwa umbo linaloteleza kwa urahisi kwenye aina zote za vitambaa.
Button Groove: Ina muundo maalum wa pembeni unaowezesha kunyoosha kwa urahisi maeneo ya karibu na vifungo vya shati au nguo.
Non-Stick Coating: Bati halishiki wala kuchoma nguo zako.
Thermostat Control: Inakuja na kisu cha kurekebisha joto kulingana na aina ya kitambaa (Pamba, Silk, Wool n.k.).
Nyepesi na Rahisi Kutumia: Ina kishikio kizuri kisichoteleza mkononi.