Hisense ac zilizopo
no-invertor
btu 9000
btu 12000
btu 18000
btu 24000
btu 30000
zenye-inverter
btu 9000
btu 12000
btu 18000
btu 22000
btu 24000
.
ac zetu zina warranty ya uhakika miaka 2 zina pooza haraka na ubaridi mkali unaganda, hazisumbui kabisa, pia tunazo ac aina zote kama hisense, lg, samsung, midea, airlux, roch, gree, bruhm, mr uk na nyinginezo
.
zote ni original na warranty ya uhakika, tunamtuma fundi anakuja kukufungia na hata ikitokea shida yoyote fundi anakuja kukuangalizia bure kabisa
.
tunazo pia electronics za aina zote kwa bei nafuu sana, hivyo kabla huja poteza hela kwa kununua electronics kwa wenye tamaa tuulize bei zetu nzuri ulinganishe na zao ili uone utofauti
.
tuko kariakoo karibu na kanisa kkkkt tupigie