Hii ni feni ya mkononi ambayo unaweza kwendq nayo kokote ni nzuri sana kwa fashion pia ni nzuri kwa kuondoa hali ya joto endapo utahisi ukiwa sehemu yyte jipende sasa inapatikana kwa bei rahisi tupo kkoo mtaa wa agrey na ndada pia deriverly ipo kwa bei nafuu