Mechanical Health Scale ni mzani wa kupimia uzito wa mwili bila kutumia umeme au betri. Unafaa kwa matumizi ya nyumbani, hospitalini, kliniki, gym na vituo vya afya. Una mfumo wa kupima uzito unaosomeka kwenye kipimo cha namba, na ni rahisi kutumia kwa kufuatilia uzito wa mwili.