LG Washing Machine Front Load Washer 9kg, AI Direct Drive Motor, Steam Model:F4V5VYP2T
Inverter Motor: inatumia mota ya inveta ambayo inatumia umeme mdogo
9kg Full Automatic: Ni kg9 inafua inasuuza ina kamua
AI DD: Inatambua uzito na ulaini wa kitambaa wakati wa kufua
More Hygienic Steam: Inatoa mvuke wakati wakufua unao uwa bakteria