Call us, or Visit our store ata Kariakoo Agrey na Likoma Street
Closed now
• Mon - Sat, 09:00-19:30
Ondoa usumbufu wa nyaya za simu za mezani! KX F317 ni simu ya mezani inayotumia SIM card, inayokuwezesha kupiga na kupokea simu kupitia mtandao wa simu bila kuhitaji waya wa simu wa mezani.
Features za Kipekee:
Inatumia SIM CARD 2 (Dual SIM)
Inafanya kazi bila waya wa mezani
Inatumia mitandao ya GSM 850/900/1800/1900MHz
Battery yenye uwezo mzuri
Loudspeaker kwa mawasiliano ya bila kushika simu mkononi
Caller ID — kuona namba ya anayepiga
SMS Function
Phonebook yenye kuhifadhi namba nyingi
Voice recording na mute function
Inafaa kwa: Ofisi, maduka, biashara na matumizi ya nyumbani.
K.koo Agrey & Likoma [Mkombozi Bank]
+
Tunatuma Dar es Salaam na mikoani — Pay After Receiving
Your TechHome, Buy Genuine-Buy Happiness