joto limezidi? pata upepo mwanana wenye ukungu wa maji kwa kutumia globalstar mist fan 16”!
sifa zake za kuvutia:
16” mist fan – upepo wenye ukungu wa maji
remote control – dhibiti ukiwa mbali
timer – panga muda wa kufanya kazi
tank la maji la lita 3
matumizi ya umeme ya 50w
speed 3 – chagua kasi ya upepo unayopenda
bei ya jumla: tsh 290,000/- tu!
tunapatikana kariakoo – magila na likoma.
joto likuumize nini wakati suluhisho lipo?
wahi kuagiza yako leo! usisubiri joto likuzidie!