Brand: MERIT
Mfumo wa Kupikia (Burners): Mchanganyiko wa Bania 4 za Gesi (4 Gas Burners) na Sahani 2 za Umeme (2 Electric Hotplates)
Oven Kubwa: Oven ya kisasa yenye vioo imara kwa ajili ya kuboke (bake), kuoka keki, nyama, na kuku kwa urahisi
Kioo cha Juu (Glass Lid): Kina kioo cha kufunikia jiko baada ya matumizi kwa ajili ya kuweka jiko safi na salama
Muundo (Design): Rangi ya mweusi (Black Finish) inayofanya jiko lionekane la kifahari jikoni
Safety & Control: Knobs za kurekebisha moto kwa urahisi na usalama mkubwa
Hali: Mpya (Brand New in Box)