Teknolojia ya Inverter Expert: Inapunguza matumizi makubwa ya umeme na kuokoa gharama zako za kila mwezi (High Efficiency - Save more energy).
Uwezo wa 18000 BTU: Nguvu kubwa inayofaa kwa vyumba vikubwa, ukumbi wa nyumbani, au ofisi za biashara.
Kupooza kwa Haraka (Quick Cooling): Inapooza eneo lako ndani ya muda mfupi sana baada ya kuwasha.
Udhibiti wa Joto wa Kisasa (Smart Comfort): Mfumo mahiri wa kurekebisha kiwango cha joto kulingana na mahitaji yako.
Haipigi Kelele (Low Noise): Inafanya kazi bila kutoa sauti ya kero, inayokupa utulivu na usiku mwanana.
Gesi ya R410A: Inatumia gesi salama kwa mazingira (Eco-Friendly Gas).
Waranti ya Miaka 2 (2 Years Warranty): Inakuja na udhamini wa miaka 2 kwa spare na huduma (Parts & Service).