Nguvu ya Motor: 1800W (Inanyonya vumbi na uchafu kwa nguvu sana)
Ukubwa wa Pipa: Lita 21 (Lita 21 za kuhifadhia uchafu)
Muundo Imara: Yenye magurudumu ya kusukuma kwa urahisi na bomba ndefu ya chuma.
Inafaa: Nyumbani, Ofisini, Msikitini, Makandani, na Car Wash!