• 15Kg capacity – Inafaa kwa familia kubwa na biashara ndogo.
• Twin tub design – Huosha na kukausha kwa ufanisi zaidi.
• Wash & spin functions – Husaidia kuosha na kukamua nguo kwa haraka.
• Powerful motor – Hutoa utendaji bora wa kufua.
• Energy saving – Hutumia umeme kwa ufanisi.
• Easy to operate – Rahisi kutumia kwa kila mtu.
• Durable construction – Imetengenezwa kwa matumizi ya muda mrefu.