• Upepo Mkali na wa Nguvu (5 Blades): Ina mabawa 5 mapana yanayosukuma hewa kwa nguvu na umbali mkubwa (hadi mita 5.5) kukabili joto kali.
• Ina Automatic Timer: Unaweza kuiset izime yenyewe baada ya muda fulani (nzuri sana kwa matumizi ya usiku ukiwa umelala).
• Ultra Silent (Haina Kelele): Motor yake inafanya kazi kwa utulivu mkubwa bila kutoa milio ya kuudhi sebuleni au chumbani.
• Speed 3 tofauti: Inakuja na viwango vitatu vya kudhibiti kasi ya upepo (Chini, Kati, na Juu) kulingana na mahitaji yako.
• Inahimili Umeme (Energy Saving): Inatumia nishati ndogo sana ya umeme, hivyo haimalizi luku haraka.