9000BTU Blackark Air Conditioner – Baridi Kali, Umeme Mdogo!
-AC ya uhakika kwa chumba chako, ofisini au shop
• Inapooza haraka sana – ndani ya dakika chache tu unahisi baridi
• Inaokoa umeme – matumizi madogo, bili rafiki
• Inafanya kazi kimya – hakuna kelele usiku
• Design ya kisasa – inapendezesha chumba chako
• Inafaa kwa vyumba vya kawaida (bedroom, office, shop)