Mashine mpya ya dhahabu Gold Sluice Highbanker urefu wa mita 3, imetengenezwa kwa chuma kigumu cha stainless steel kisichoshika kutu na inakuja na green gold carpet nane ambazo zinanasa hata dhahabu ndogo sana. Seti nzima inajumuisha hopper yenye grizzly screen ya kuchuja mawe makubwa, water pump ya petroli 6.5HP pamoja na mabomba yake yote mawili ya kuvuta na kusukuma maji, pamoja na miguu inayoweza kurekebishwa kwa urahisi. ni nyepesi na inabebeka kwa urahisi kwenda mtoni au mgodini na haitumii umeme inatumia petroli tu.