Tunayo Gold Washer, kifaa kinachotumika kusaidia kuosha udongo na kutenganisha chembe za dhahabu na mchanga kwa mfumo wa mashine.
Husaidia kurahisisha shughuli za uchenjuaji wa dhahabu
Hufaa kwa shughuli za utafutaji na uchimbaji wa madini
Hupunguza kazi ya kuosha udongo kwa mikono.