Model: X1 E-Sports Gaming Headset
Sauti ya Sura za Juu (Super Bass & Stereo Sound): Inatoa sauti yenye bass nzito na ya wazi kwa ajili ya uzoefu wa hali ya juu wakati wa kucheza games na kusikiliza muziki.
RGB Lighting Effects: Ina taa za RGB zenye rangi za kuvutia pande zote mbili kwa ajili ya muonekano wa kisasa wa kigaming.
HD Microphone: Maikrofoni inayoweza kurekebishwa kwa urahisi kwa ajili ya mawasiliano safi bila kelele unapocheza na wenzako au wakati wa call.
Comfortable Earpads: Pedi laini masikioni na headband inayobadilika kulingana na kichwa kwa ajili ya matumizi ya muda mrefu bila kuumiza masikio.
Compatibility: Inafaa kutumia kwenye PC, Laptop, PlayStation, Xbox, na vifaa vingine.